Wakati wa plénière ya kihistoria ya asubuhi mu 1er mai, sujet munene ya dispute ya nguvu ku Conférence Générale katika miaka 40 iliondolewa bila débat: interdiction ya ordination ya wa clergé “wale wanaojitambulisha kuwa homosexuels.
Pétitions ingine ilipita ya kutosha sheria nyingine
zinazokataza clergé kubariki ndoa za wa homosexuels ao makanisa kuzikibali. Vote nyingine ilihitimisha sera iliyotumiwa na maelfu ya makanisa kuacha dénomination, lakini ikatengeneza njia juu ya makanisa yanayotaka kurudia.
Interdiction ya miaka 40 juu ya wa clergés homosexuels ilibatilishwa

Pétition la kuondoa lugha hiyo - ambalo lilianza 1984 - lilikubaliwa kupitia calendrier ya consentement pamoja na vipande vingine vya sheria 22 kwa vote 692-51, na kuidhinishwa kwa 93%.
Wajumbe na waangalizi wakipiga makofi baada ya kupiga vote.
Wajumbe pia walipiga vote kwamba wa surintendants hawapaswi wa clergé ao makanisa kwa kupanga - au kukosa kupanga - ndoa ya wa homosexuels.
Mabadiliko mengine yaliyoidhinishwa yanahimiza Baraza la Maaskofu kujumuisha jinsia, rangi, kabila, âge, watu wenye ulema, orientation sexuelle na condition économique katika kutaja wawajumbe wa mashirika oecuméniques.
Sheria iliyoidhinishwa kwenye calendrier ya consentement ya asubuhi ya leo inaendeleza na mitindo wa Conférence Générale huu, ambao unabadilisha kimya kimya baadhi ya vikwazo vya muda mrefu vya Kanisa la Méthodiste Unie kwa washiriki wa LGBTQ.
Hakuna kitu kilichopitishwa na Conférence Générale ao chini ya kuzingatia kingelazimisha makanisa kupokea pastori homosexuel. Sheria iliyoidhinishwa leo pia inalinda kwa uwazi haki ya wa clergés na makanisa ya kutosimamia au hapana ndoa za wa homosexuels.
Mwisho wa mukubaliano ya désaffiliation

Kwa vote ya 516-203, wajumbe waliunga mkono ku maliza sera ya désaffiliation iliyoongezwa na Conférence Générale Spéciale ya 2019 na kutumiwa na zaidi ya makanisa 7,600 ya États-Unis kuondoka katika Kanisa la Méthodiste Unie. Kupitishwa kwa petition hili kunaondoa paragraph 2553 kutoka kwa Kitabu cha Nidhamu (Livre de Discipline).
Kabla ya Conférence Générale, vikundi vya utetezi wa théologiens conservateurs Good News, Wesleyan Covenant Association na Africa Initiative vilitangaza mipango yao ya kufanya pression juu désaffiliation iendelezwe na kupanuliwa.
Wajumbe pia walikubali kwa vote ya 629-96 sera ya kuunganisha upya kukaribisha makanisa yanayotaka kujiunga tena na Kanisa la Méthodiste Unie, na kupitishwa kwa kura ya 593-139 pétition ya mwisho ya régionalisation kupatia ma regions msimamo sawa katika décisions yaa kanisa.
Askofu akiwatia moyo wajumbe

Askofu David Wilson, ambaye anasimamia Conférence ya Great Plains na ni askofu Amérindien wa kwanza mu dénomination, aliwahimiza wajumbe wa Conférence Générale kufikiria watu ambao waliongoza imani yao hapo awali, huku wakiwaze jinsi ma décisions leo yanaweza kuongoza Wamethodisti katika siku zijazo.
Wakati wa mahubiri ya asubuhi, Wilson, ambaye mara nyingi hushiriki jinsi cultures indigènes zinavyoona avenir wakati wana panga ma décisions, alimalizia hotuba yake na historia ya makabila sita yanayounda Haudenosaunee Confederacy huko Amérique.
Wakati décisions makubwa yanapaswa kufanywa
hatufikirii tu juu ya matokeo ya sasa au hata mwaka mmoja baadaye, lakini tunahangaikia jinsi wakati ujao utakavyokuwa. Badala yake, ni juu ya kufikiria juu ya matokeo ya uamuzi kwa watu ambao wataishi vizazi saba baadaye.
Katika habari nyingine
- Katika mapumziko kutoka kwa vikao vilivyotangulia, Conférence Générale lilifanya uchaguzi mu 1er Mai kwa nafasi zote tisa kwenye Conseil Judiciaire, chombo cha juu cha Kanisa la Méthodiste Unie.
- Ibada ya asubuhi ya 1er Mai ilihitimishwa kwa wakati wa ukumbusho kwa maaskofu 34, wanandoa 40, wajumbe 29, wale waliokuwa washiriki wa walei na clergé 9, na mjumbe moja wa Conseil Judiciaire ambao waliyefariki tangu Conférence Générale uliopita.
- Katika kikao cha wajumbe cha asubuhi ya 1er Mai, wajumbe walikubali décision la kulaani ubaguzi wa rangi na unyanyasaji wa kijinsia unaowakabili wa Américains wa kutoka Asie.
Likiwa limeanzishwa na Shirikisho Jipya la Wana Methodisti wa Asia na Marekani (Federation of Asian American United Methodists), résolution hilo linalaani kuongezeka kwa discrimination ya watu wa rangi na kabila ndogo, hasa wa Américains wa kutoka Asie.
Butler ni producteur/editeur wa UM News. Unaweza kumpata kwa [email protected] ao 615-742-5470.
Wafanyakazi kutoka UM News, directeur wa communication wa Conférence ya Great Plains Todd Seifert na Jessica Brodie wa South Carolina United Methodist Advocate walichangia ripoti hii.
Kusoma habari ingine za Église MéthodisteUnie, udiandikishe ku Daily ao Weekly Digests