Palmer: Tumaniya ahadi ya Mungu na wende mbele

Translate Page
Askofu Palmer aribakumbusha biyumbe yote kama muntu wote ku Conference General ya mwaka ya 2016 eko mutoto wa Mungu.

Askofu Gregory V. Palmer ari onesha djiya ya Mukutano ya Kanisa ya Methodiste ya mwaka ya 2016: bupole, bupole, bupole.

"Muntu wote apa eko mutoto wa Mungu. Tabia yoyote tshini ya iyi ukweli ina shusha Habari Njema na iko kutshakuwa kuishi tchini ya haki yetu," Palmer, yeye anatumika ku maaskofu ya West Ohio, arisema, katika mufuguliyo siku ya 11 mweki ya Mei.   

Baraza ya waaskofu iri mutchakua Palmer dju aseme, ile ari ongeza irikwa fwashi na saa ya ku onesha ndjiya ya iyi mukutano.

Mambo mingi kumbele ya wakisheria ya mukutano ita lomba wadjumbe wa tshakule kwa mambo ya nguvu sawa kujamiiana binadamu, ku ujicha bintu na feza ya kanisa.

"Kutshakuwa kwetu kwatcha bantu iko na uwa roho ya kanisa na kushindisha kaji yetu" akasema.

Mukutano ya mwaka ya 2012

"Inahitaji kusema kwamba Conference General ya mwaka ya 2012 iritosha kintu ku iyi kanisa mu namuna mubaya," akasema. Wa mingi warisema irikwa kupotesha saa na mali, wengine warikwa tshoka na warikwa na moyo.

Hata vile, Kanisa ya Methodiste iri badilisha maisha ya watu na iritoa mu ma ministeres, arisema.

Palmer akataya bintu binene kanisa iye fania:

  • Wazia Malaria ata moya (Imagine No Malaria) iri enesha milioni $65.5dju ya ku jimicha malaria mu Afrika
  • United Methodiste Kamati ya Misaada (United Methodist Committee on Relief) iri djibu ku maafa mu duniya yote.
  • Kanisa iko na leta mayi sifa ya kunya ma fazi kama vile Sierra Leone na Michigan.
  • Masomo ya Biblia (Disciple Bible Study) iyo kufudishiwa katika ndani ya makanisa na ma buloko. Kanisa ya Methodiste ina karibisha watu wa sasa na ina enga ma fwashi mupiya dju ya watu mingi wakati kuendeleya na "Sheria ya Kristu."

Kwalakini sisi wote tuwo apa Conference General ya 2016 turi itiwa apa kwa Mungu ule tuna amini ana edelea kutumika mu kanisa na katika Kanisa mujima ya Methodiste.

Kwa hiyo wende

Mandhari ya iyi mukutano ya duniani yote ni "Kwa hiyo wende" inapatikana mu Mathayo 28:19-20. Palmer arisema, kaji ya kanisa ni kwenda na kuleta watu kwa Kristu dju ya kubadirisha ndunia yote."

"Kama iyi Mukutano ayi faniye vile Kitabu kirisema aho ayifwate ujumbe ya tarifa yetu, sisi tutashinda" akasema.

Palmer arisema wamethodistes mingi bana ogopa maisha ya kanisa kama taasisi.

"Madhari na ujumbe ya taarifa yetu iyipo kwenda, kutenda pamoya na kuya na ntazamo ya ile Mungu anatazama — ambayo inakuya biumbe mpiya ya watu, mikini, tamaduni na ndunia yote," akasema.


Like what you're reading? Support the ministry of UM News! Your support ensures the latest denominational news, dynamic stories and informative articles will continue to connect our global community. Make a tax-deductible donation at ResourceUMC.org/GiveUMCom.

Sign up for our newsletter!

UMNEWS-SUBSCRIPTION
General Conference
Musicians lead singing on May 12 during morning worship at the United Methodist General Conference in Portland, Ore. Photo by Paul Jeffrey, UMNS.

GC2016 wrap-up: Farewell, Portland. Thanks for the doughnuts.

General Conference 2016 skirted division over human sexuality and focused on a wide range of matters.
General Conference
The Rev. Susan Henry-Crowe of the United Methodist Board of Church and Society addresses the 2016 United Methodist General Conference May 16 in Portland, Ore. Crowe helped present the report on the denomination's Four Areas of Focus for ministry. Photo by Mike DuBose, UMNS

Legislation promotes expanded health care for Native Americans, other minorities

Legislation adopted by the United Methodist General Conference could support efforts to improve health care for Native Americans.
General Conference
General Conference 2016 Logo

Bid to divest from settlements fails

Israel-related amendment on socially responsibility investing fails, but General Conference supports advocacy letter for Palestinian village.