Batumadji wiri ba Mapendo ya Mungu barileta hotuba ya bidjana

Translate Page
Basemaji ina penda kwambia bajumbe na kanisa namuna ile bijana beko na tumika.

Wakati biyana mbiri warisema ku Conference Generale iyi busubuyi, wa mingi wari chimama nabo. Chelsea Spyres na Peter Cibuabua warianza hotuba yabo na kusema kama "beko batumaji beko na kabula ma sauti ya biyana yote ba mu dunia."

Iyi sauti inatangaza Mapendo ya nguvu ya Mungu na neema ya bantu bote.

"Maafa ya iyi message ni kumi sayidiya, kusayidiya wa ndugu yetu na wa dada yetu mu kanisa, kuelewa namuna ile biyana weko na mu tumikiya Kristu kabisa na nguvu na mapendo," warisema.

Wari taya magumu biyana beko nayo na ma wazo ya kuenga kanisa.

"Pengine Mungu anacha kusema pole pole akaanza kulamika" Spyres arisema, wakati ariongoza watu kwenda mbele ya mapendo yayo dju ya kushikiya "ma sauti inalombewa kuchikirika."

Arikumbucha watu ya vile muntu yote eko yeye pekee, ariuliza, "kanisa ita komeya namuna kani kama tuna ongoza kila muntu kupata mwito yake, kupata ile fazi Mungu anapenda kubatuma mu dunia? Kama tuna chikiya mbele ta kusema?"

Cibuabua arisema programme ya biyana inekalaka moya na feza kiloko mu Conference.

"Munamuna ya vile, biyana wanateswa mu kanisa," arisema, aritaya vile biyana weko na teswa  na ma mvita, magonjwa, bumaskini, chakuzi ya rangi, chakuzi ya kijinsia na kujichiwa kwa batoto. Ariongeza, "ata vile biyana wana fwata habari njema ya Yesu Kristu."

Spyres ari lomba kanisa ipatiye Mapendo ya Mungu bahati ya kuba badirisha. "Hakuna mambo pale unashimamiya pa maswali ya jinsia ya binadamu," arisema, "tunaitwa kupenda, na kupenda mbele ya kintu kingine." Arilomba wote ku itchika watu "vile Mungu ariwaomba" apana "kwa vile tuna waziya bana pasha kuya."

Cibuabua arisema leo bijana beko nasema mambo ya mapenzi ya jinsia moya "na sauti yulu". Ariongoza wengine kwendelea, "na buluma na mapendo, pashipo kuwaza bile bita wezi kufika."

Mwito ku mazungumzo

Bale biyana bari lombea United Methodist Committee on Relief ile iko na kutana na ma kanisa na wa Young African Leaders Summit sawa namuna ya mapendo bora. "Tuko kanisa ya mitendo, kanisa ina ichika mwito yaku saiidia," Spyres arisema. "Ni majibu ya ivi inayita biyana mu kanisa."

Masauti ya biyana iripiticha ku TV- irionesha nguvu na udhaifu ya kanisa. Biyana wegine wale warituma ma videos hao mwaka mujima wari ikala pa hatua.

Cibuabua aritoa sauti moya ya biyana kubeba: "Leo Kwanza, Kisha Kesho,"kuliko kusema, "biyana ni kanisa ya kesho."

Hotuba ya pa hatua irisha na mwito ku umoja na kwendelea kuongeya na wazazi. "Zaidi ya yote," Spyres arisema, "tuna waziya uta uungana na biyana ba mu maisha yenu na ma huduma." Mikanda irifwanywa dju wajumbe ba andikie biyana. Ile mikanda iribakiya ku Young People's Lounge mu Convention Center.

Habari yao

Hawa watu wana ikala, ishi na wana tumika ma fazi ya kwatchana, kwalakini wari sema kintu moya, "Kuya sa Yesu na yenga mahusiano na penda mbele ya kintu kiokiote."

Spyres arikomea mu Delaware na eko natumika  saa missionaire mu Detroit. Arisema arianza kwenda kumisa pale arikwa mutoto mudogo na kambo yake, Nana. Kampia ya kanisa na ma kazi irifwata mu miaka yake. Spyres arionesha shukrani kwa kanisa yake mu Newark, Delaware. "Bale ba ndugu ba Imani bari nisayidiya kuona nguvu ya mwili ya Kristu, wakati kanisa iko nangaria indje kuliko ya ndani," arisema.

Ile arifunda kutoka kwao dju ya "nguvu ya mahusianoa" iri mupeleka ku tumika sawa Global Mission Fellow (US2) mu 2014.  Arionesha huduma yake katika projet NOAH mu Detroit kwa kumu onesha vile mapendo inawezi kwa nguvu. "Kila shiku minapata mtazamo ya Ufalme hapa duniani kupitia chakula na ma harishi."

Cibuabua anatoka Kinshasa, mu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Imani yake irianza mu nyumba ya ba musulmans.

"Irianza pale mirianza kufunda mu masomo ya Kanisa ya Methodiste mu mukini yake,"arisema. Kutchagua kwake kwenda mu Kanisa ya Methodiste iri mufwanya "anakuya mugeni mu nyumba yabo." Baadaye, aribatiziwa na ariitchika. Saa Spryes, Cibuabua ari itchikicha, "miripenda misemo ya mapendo na neema."

Leo Cibuabua eko mwenyekiti wa evangelism na rais ya wizara ya biyana mu conference yake, kuonesha bengine "wakati tuko na mapendo, tunaweza kuishi yulu na zaidi hali yoyote na jirani." Kufundisha anglais, kuongoza ku Radio ya Methodiste na kusafisha kanisa "ina bakiya paka ma kazi yangu minapenda,"arisema.  


Like what you're reading? Support the ministry of UM News! Your support ensures the latest denominational news, dynamic stories and informative articles will continue to connect our global community. Make a tax-deductible donation at ResourceUMC.org/GiveUMCom.

Sign up for our newsletter!

UMNEWS-SUBSCRIPTION
General Conference
Musicians lead singing on May 12 during morning worship at the United Methodist General Conference in Portland, Ore. Photo by Paul Jeffrey, UMNS.

GC2016 wrap-up: Farewell, Portland. Thanks for the doughnuts.

General Conference 2016 skirted division over human sexuality and focused on a wide range of matters.
General Conference
The Rev. Susan Henry-Crowe of the United Methodist Board of Church and Society addresses the 2016 United Methodist General Conference May 16 in Portland, Ore. Crowe helped present the report on the denomination's Four Areas of Focus for ministry. Photo by Mike DuBose, UMNS

Legislation promotes expanded health care for Native Americans, other minorities

Legislation adopted by the United Methodist General Conference could support efforts to improve health care for Native Americans.
General Conference
General Conference 2016 Logo

Bid to divest from settlements fails

Israel-related amendment on socially responsibility investing fails, but General Conference supports advocacy letter for Palestinian village.