Wantu ya kanisa ya Methodis wali pita masaa sita kuomba, kuimba, kuhisa kabla ya kuanza kazi ngunvu ya Sheria ya Mkutano.
Maombi ilio iongozwa kwa wa Askofu wa Kanisa ya Methodist warilomba uongozi na moyo.
Kufika mchana, hapakujali matatizo ya wa mashoga (LGBTQ) na kwamba wasiwasi uliwasilishwa na wale wanaosaidia kubadilisha sera za kanisa kuhusu ushoga. Nusu ya pili ya siku yaku sala ilianza na wito wa kihisia ya kuombea "wa ndugu yetu wa mashoga (LGBTQ) wanaume na wanamuke" iliyotolewa kwa Askofu Debra Wallace-Padgett wa North Alabama.
Dorothee Benz, mujumbe wa Mkutano ya New York, alisema wa mashoga (LGBTQ) ilileta wasiwasi kwa askofu kwamba kulikuwapo “"hakuna wakati mingi ya kutombeya na kuomba na sisi." Na, uwepo ya wa mashoga (LGBTQ) ambao ghorofa sawa wajumbe na ambao viti walichukua maandishi na mabendera.
“Natamani kwamba waaskofu wangekubali madhara yaliyofanyika kwa watu wa mashoga (LGBTQ) asubuhi hii kwa kimya yao. Natamani kwamba waaskofu wanaume na wanamuke (cisgender) walikuja kutoka hatua ya kuomba pamoja nasi," Benz alisema.
“Lakini nilihamishwa na wale waliokuja na kusimama nasi na kutukumbatia. Tutaendelea kuwakumbusha kanisa kwamba sisi hapa, tunastahiki kutajwa, kama waaminifu, kama muhimu kwa baadaye ya kanisa, kama Methodist yoyote,” Benz aliongeza. Cisgender inahusu mtu ambaye hisia yake ya utambulisho wa kibinafsi na jinsia inafanana na jinsia ya kuzaliwa.
Saa baraza ilikuja pamoja, Wallace-Padgett akasema, "Tunamiona, sisi ni pamoja kama sehemu ya mwili wa Kikristo, na wakati moja anateseka, sisi sote tunateseka. Tunahitaji kujali kila mmoja, kunyoosha mkono takatifu wa upendo kwa kila mmoja, kwa kujua sisi ni watoto wa Mungu. Na moyo wa Yesu, tunaingia wakati wa maombi hasa kwa wa ndugu za mashoga (LGBTQ) ambazo ziko hapa na duniani yote. "
Wakati waimbaji walianza kuimba Ninakuhita uishi (I Need You to Survive)," miduara iliundwa karibu na wajumbe za mashoga LGBTQ na bendera ya upinde wa mvua ilitikiswa. Masauti mu Dome cha Katika Amerika, waliimba maneno, "Sitakuumiza na maneno inatoka kinywa changu, wewe ni muhimu kwangu. Nilikuombea, unaniombea, ninahitaji wewe uishi."
Ushirika takatifu imefungwa siku hiyo.
Asubuhi, waaskofu kutoka Ulaya na Eurasia, Afrika, Marekani wa Phillipines waliongoza mkusanyiko wa maombi ya uzoefu kugawana ujumbe, huduma na changamoto za Kanisa la Methodist.
Askofu Eduard Khegay, wa Eneo la Moscow, na Harald Rückert, wa Eneo la Ujerumani waliongoza kundi katika kuimba wimbo wa Kiswidi, "Jinsi Ulivyo Kubwa Sanaa" - kwanza kwa Kiingereza na kisha kwa Kiswidi.
Askofu Mande Muyombo, Eneo la North Katanga, katika sauti yake ya kupiga kelele, alisema "Katika Afrika tunaomba na sauti kubwa. Tunasali kwa bidii. Tunaombea kanisa. Ni kanisa la ajabu linalobadilisha maskini."
Askofu mstaafu Peter Weaver aliomba mwongozo.
“Sisi hapa tena, Mungu. Wa Methodists weko mu mkutano tena, mapema kidogo kuliko kawaida. Twahitaji uongozi wako kidogo zaidi kuliko kawaida."
Beata Ferris, mjumbe kutoka Mkutano wa Dakota, aliona Siku ya Sala "iliweka tone muzuri" na arijipata ye peke na wale walio karibu naye waliguswa kusikiya vipengele ya mataifa engine.
"Watu walikuwa wanapiga makofi na kucheza na kuimba na muziki wa Afrika, na kujaribu kuimba kwa Kirusi na Kiswidi," alisema. "Ninahisi kwamba hatukufanya kazi nzuri sana, lakini tulijaribu nguvu."
Mchungaji Ben Lalka, mchungaji wa Victor United Methodist Church, iko Victor, New York, alijitambulisha kuwa "katikati" juu ya jinsi siku ya kwanza ilipitika.
"Ni vizuri kuweka mfano wa wakati yaku sala, wakati wa kutambua mapenzi ya Mungu kwa kanisa letu," alisema. "Lakini hii ndiyo General Conference yangu wa kwanza, na nina wasiwasi kwamba hatutakuwa na muda mingi (dju ya kazi ya kisheria). Lakini ninajaribu kumtegemea Roho Mtakatifu, kujaribu kuamini uongozi wetu."
Askofu James Swanson Sr wa Mkutano wa Mississippi alisema wakati wa mapumziko ya chakula kwamba siku ya kwanza ya General Conference kujitolea kwa sala ilikuwa "kitu ambacho tulipashakwa kufanya wakati wote."
Swanson alisema wakati wajumbe mingi wana kuwa na mawazo yao juu ya sheria, wengine hawana. Na faida ya kusala inaenda zaidi ya ufahamu, aliongeza.
"Inaweza kutusaidia kwa mtazamo. Hiyo ndio nina wasiwasi zaidi - mtazamo, na jinsi tunavyogusa. "
Swanson alisema waaskofu aliketi karibu na aliomba nao walionekana waliguswa wakati ya sadaka la Erasia na Afrika mu maombi-katika-wimbo.
“Ilionyesha kweli kabisa utofauti wetu."
Kukaa pamoja kupitia dhoruba zote ilikuwa kichwa cha mara kwa mara katika malombi zilizungumzwa katika lugha nyingi za kaniza.
Askofu Kenneth Carter, rais wa Baraza la Waaskofu, na Wallace-Padgett walielezea mfano ya kusala kwa wajumbe.
Wakabiliana, wakishika mikono, wakarudia kwa kila mmoja, "kama nimefanya kitu chochote kilichopangwa au zisizotarajiwa kukudhuru, tafadhali naomba unisamehe. Amani ya Kristo iwe na wewe.