General Conference Kiswahili

Wajumbe wa Mkutano wa Florida, Rachael Sumner (mbele kushoto) na Mchungaji Jacqueline Leveron (mbele kulia) washiriki katika sala pamoja na waaskofu na wajumbe wengine mbele ya hatua kabla yakupiga  kura muhimu juu ya sera za kanisa kuhusu ushoga wakati wa Mkutano Mkuu huko St. Louis. Picha na Mike DuBose, UMNS.

Conference General ya 2019 iyopitisha Mpango wa Jadi

Wajumbe wa kanisa la United Methodist walikubali mpango ambao unathibitisha sera za kanisa juu ya ushoga na kuimarisha utekelezaji. Uchaguzi ulikuwa 438 hadi 384.
Kama Mchungaji Joe Harris anaongoza kamati ya kisheria, matokeo ya kupitisha kura ya Mpango wa Jadi kama ilivyorekebishwa na 461-359 yanaonyeshwa. Uchaguzi bado unapaswa kuidhinishwa na kikao cha plenary mnamo Februari 26, siku ya mwisho ya kikao maalum cha Mkutano Mkuu wa 2019. Picha na Paul Jeffrey, UMNS.

Mpango wa jadi unaendelea kama mipango mingine inashindwa

Wajumbe waliweka cheo katika maombi kwa kipaumbele kwa kusafisha katika baraza ya sheria. Mpango wa Kanisa Mmoja, ulioungwa mkono na wengi wa maaskofu, ulikuwa wa tano.
L'Eglise
Mchungaji Jerry Kulah anajulisha kesi yake dju ya Mpango wa Jadi iliobadilishwa wakati wa Chakula cha asubuhi siku la Februari 23 iliyopangwa kwa Good News, kundi jadi isiyo rasmi cha Kanisa wa Methodist. Saa ya chakula ilioyita watu mingi katika hoteli mu St. Louis siku ya ufunguzi wa Conference General wa 2019. Picha kwa Steve Beard, Good News.

Chakula cha asubuhi kwa Good News GC2019 imealikwa wantu mingui

Mchungaji Jerry Kulah amehugusa kulibadilishwa Mpango wa Jadi na anasema wajumbe wa Afrika “hawana watoto wanaohitaji ufahamu ya watu wa Magharibi 'juu ya maadili ya ngono.
L'Eglise
Le révérend Jerry Kulah a plaidé en faveur du Plan Traditionnel Modifié lors d'un petit-déjeuner organisé le 23 février par Good News, un caucus traditionnel non officiel de l'Église Méthodiste Unie. Le petit-déjeuner a attiré une foule nombreuse dans un hôtel de St. Louis le jour de l'ouverture de la Conférence Générale de 2019. Photo de Steve Beard, Good News.

Chakula cha asubuhi kwa Good News GC2019 imealikwa wantu mingui

Mchungaji Jerry Kulah amehugusa kulibadilishwa Mpango wa Jadi na anasema wajumbe wa Afrika “hawana watoto wanaohitaji ufahamu ya watu wa Magharibi 'juu ya maadili ya ngono.
Loading